Tanzania yatumia Sh23 bilioni kuagiza maziwa nje ya nchi
Morogoro. Wakati Tanzania ikijivunia kuwa na idadi kubwa ya mifugo, bado inalazimika kutumia zaidi ya Sh23 bilioni kila mwaka kuagiza wastani wa lita milioni 11.6 za maziwa kutoka nje ya nchi. Hali hiyo inayochangiwa na changamoto za ubora ambapo miundombinu na elimu kwa wadau wa sekta maziwa ni vikwazo vinavyosababisha maziwa kukosa ubora. Akizungumza katika…