Yanga Yashusha Kichapo cha 5-0 Kwa JKT Tanzania, Yatuma Salamu Simba!
Global Publishers February 25, 2026 0 Comments DAR ES SALAAM, Mwenge – Dimba la KMC Complex limegeuka kuwa kitovu cha shangwe leo wakati Yanga waliposhinda kwa kishindo cha 5-0 dhidi ya JKT Tanzania, wakituma ujumbe thabiti kwa wapinzani wao Simba SC kabla ya Dabi ya Kariakoo itakayofanyika Jumapili, Machi 1, 2026. Mabao Yanayogusa Moyo ya…