Aisha Mohamed mjumbe mpya wa Bodi ya MCL
Dar es Salaam. Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) imemtangaza Aisha Mohamed kuwa mjumbe wa bodi ya kampuni hiyo, na anatarajiwa kuchangia katika kuimarisha na kukuza zaidi shughuli za kampuni hiyo ya habari nchini. MCL, ambayo ni kampuni tanzu ya Nation Media Group (NMG), imeeleza kuwa ujio wa Aisha unaongeza nguvu mpya katika uongozi wa…