Kamanda Muliro Atoa Onyo Kali Dhidi ya Uhalifu Dar, Ajibu Kuhusu Alipo Mafwele – Video
Bakari Mahundu February 24, 2026 0 Comments Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, amesema Jeshi la Polisi halitavumilia vitendo vya kihalifu ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam, akisisitiza kuwa operesheni zinaendelea kuimarishwa ili kuhakikisha usalama wa raia na mali zao. Akizungumza na waandishi wa habari leo Februari 24, 2026, Muliro…