WATOA HUDUMA YA LPG PWANI WAKUMBUSHWA USALAMA
:::::::::: Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Mashariki imewakumbusha wafanyabiashara na wadau wa gesi ya kupikia (LPG) kuzingatia usalama, afya na utunzaji wa mazingira, wakati wa kusafirisha, kuhifadhi na kuuza bidhaa hizo kwa wateja. Meneja wa EWURA Kanda ya Mashariki, Mha. Lorivii Long’idu, akizungumza wakati wa semina ya wadau…