WAZIRI MKUU AAGIZA WAKANDARASI KULIPA WAFANYAKAZI KABLA HAWAJACHUKULIWA HATUA
Na, Seif Mangwangi, Michuzi TV, Arusha Waziri mkuu Dkt.Mwigulu Nchemba amewataka wakandarasi wanaojenga miradi mbalimbali nchini kulipa stahiki za wafanyakazi wao kama walivyokubaliana kabla hatua za kisheria hazijachukuliwa dhidi yao. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika eneo linalojengwa soko la kisasa la kilombero baada ya kutembelea mradi wa ujenzi wa stendi na soko…