Kortini akidaiwa kughushi barua za vyuo vikuu
Dar es Salaam. Mkazi wa Kibamba, Hakeem Palangyo, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka manne, likiwemo la kugushi barua za vyuo vikuu. Palangyo amefikishwa mahakamani hapo leo, Alhamisi, Februari 26, 2026, na kusomewa kesi yake mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Hassan Makube. Akimsomea shtaka, wakili wa Serikali, Bony Lawrence, amedai kuwa…