Cadillac Escalade IQ Yatangazwa Kuwa SUV Bora Mwaka 2026
Global Publishers February 25, 2026 0 Comments Jarida la magari la MotorTrend limetangaza rasmi kuwa ndiyo SUV Bora ya Mwaka 2026. Ushindi huu si wa bahati, bali ni matokeo ya mabadiliko makubwa ya kiteknolojia, ubunifu wa kipekee na kurudi kwa Cadillac kama nembo ya hadhi ya juu katika soko la SUV za kifahari. Kwa namna…
Sura tatu ziara ya Kihongosi Tabora, Kigoma
Ziara ya siku saba ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, katika mikoa ya Tabora na Kigoma, imeibua matumaini kwa wananchi, lakini baadhi ya watendaji wa Serikali walijikuta kwenye wakati mgumu mbele ya kiongozi huyo. Ugumu huo ulitokana namna ya Kihongosi alivyokuwa akiwabana akiwataka kutoa maelezo ya kina…
Utawala Usio na Chochote Kilichoachwa ila Nguvu – Masuala ya Ulimwenguni
Credit: Georgios Kostomitsopoulos/NurPhoto kupitia Getty Images Maoni na Inés M. Pousadela (montevideo, urugwai) Jumanne, Februari 24, 2026 Inter Press Service MONTEVIDEO, Uruguay, Februari 24 (IPS) – Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesitisha uasi mwingine, na ukatili ambao unafanya ukandamizaji wa awali kuonekana kuzuiwa. Utawala wa kitheokrasi umeokoka, lakini umefanya hivyo kwa kuweka ghasia badala ya…
Stone Mosabu feat G Nako – Kuku (Official Music Video)
Global Publishers February 25, 2026 0 Comments Stone Mosabu ameshirikiana na G Nako kuleta wimbo mpya wa muziki wa Kiswahili unaoitwa “Kuku”, na tayari umekuwa gumzo kwa mashabiki wa muziki nchini. Wimbo huu unachanganya beat kali, vibes za kipekee, na maneno yanayofaa kwa kuamsha hamasa katika kila party au sherehe. “Kuku” ni ushuhuda wa ushirikiano…
Mtoto wa Mjini – 6
HUKU akiendelea kuwatazama kwa zamu vijana wale kutaka kuwakumbuka kama aliwahi kuwaona mahali, mzee Mangushi alijibu: “Marhaba…”Na baada ya kutambua sura zao zilikuwa ngeni machoni pake, akawauliza: “Niwasaidie nini?” “Kuna shida kidogo mzee wangu,” alisema mmoja wao na kumfanya mzee Mangushi kuutoa mwili wake wote nje ya mlango.“Shida gani tena?” alihoji uso wake ukitaliwa na wasiwasi.“Mimi…
Waziri Riziki awataadharisha wawekezaji kwenye sanaa Zanzibar
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Zanzibar Riziki Pembe, ametoa wito kwa wawekezaji kwenye sanaa Zanzibar kuzingatia mila na tamaduni. Akiwa kwenye tamasha la Sauti za Busara, Februari 5,2026 Riziki amesema miundombinu ya Zanzibar ni rafiki kwa wawekezaji wa aina zote ikiwemo biashara, kisanaa ndiyo maana hata filamu ya The Royal Tour imefanyika pia…
Mechi tatu zinazoiremba Dabi ya Kariakoo Zanzibar
MECHI tatu za Ligi Kuu Bara zinatarajiwa kuchezwa leo Jumatano zikihusisha Yanga, Simba na Azam ambazo wikiendi iliyopita zilirejea katika mikiki ya ligi hiyo baada ya kuishia hatua ya makundi katika michuano ya kimataifa. …
Mwenzi Wako Akikuonyesha Haya, Jua Hakutaki!
KWA kawaida mtu anapompenda mtu huwa ni vigumu sana kumuacha aende. Hatamani hata siku moja kumpoteza mtu ampendaye. Atafanya kila linalowezekana kuhakikisha kwamba mhusika anakuwa mpenzi wake. Mapenzi humfanya mtu awe kipofu. Anashindwa kufikiri sawasawa na kufanya maamuzi sahihi. Hisia kali za mapenzi zinampeleka ndivyo sivyo yeye anaamini yupo sahihi. Mtu wa namna hii, mara…
Je, “Udugu wa Kibinadamu” Unaweza Kusogeza Amani? – Masuala ya Ulimwenguni
Washiriki wanatazama taswira inayounganisha sherehe ya Tuzo ya Zayed ya Abu Dhabi, kongamano la madhehebu ya Sant’Egidio huko Roma na Kongamano la Viongozi wa Dini za Dunia na Jadi la Astana – linaloashiria “nafasi ya kufanyia mazoezi” inayoibuka ambapo dini, jumuiya za kiraia na diplomasia ya serikali hukutana. (Mikopo: INPS / picha ya kielelezo) Maoni…