Admin

Uwekezaji wa Sh700 bilioni madini ya niobium kuibeba Tanzania

Dar es Salaam. Tanzania imeingia makubaliano ya uwekezaji wa Dola za Marekani 300 milioni (takribani Sh700 bilioni) na Panda Hill Tanzania Limited, hatua inayotarajiwa kuibadilisha Mbeya kuwa kitovu kipya cha biashara na viwanda. Aidha, kwa mkataba huo, imefungua ukurasa mpya wa uchumi unaolenga kuongeza thamani ya madini na kuimarisha nafasi ya nchi katika masoko ya…

Read More

Chaumma yaanza kuifumua katiba yake

Dar es Salaam. Wakati mjadala wa Katiba mpya ukiendelea kushika kasi, Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimezindua operesheni ya kuandika upya katiba yake, hatua inayokwenda sambamba na kuhamasisha uelewa wa umma kuhusu mabadiliko ya Katiba ya nchi. Katika utekelezaji wa mkakati huo unaolenga chama kujijenga kisiasa, Katibu Mkuu wa chama hicho, Salum Mwalimu ametangaza…

Read More

Wale wa kubania ushuzi, mnalijua hili…

Dar es Salaam. Umewahi kujamba mbele ya mwenza wako, rafiki au wafanyakazi wenzako? Achana na aibu na fedheha ulioipata, kitaalamu ulifanya tendo sahihi kwa masilahi ya afya yako. Kwa taarifa yako, kubania ushuzi kunakuweka katika hatari ya kupatwa na magonjwa kadhaa yasiyoambukiza, ikiwemo saratani, kama ilivyofafanuliwa katika ripoti za tafiti mbalimbali na wataalamu wa afya….

Read More

Hukumu kesi ya wizi mafuta TPA kutolewa Jumatano

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Machi 26, 2026 kutoa hukumu katika kesi ya wizi wa mafuta na kuharibu bomba la mafuta inayomkabili aliyekuwa dereva wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Tino Ndeketa (45) na wenzake saba. ‎Washtakiwa hao wanakabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi namba 30189 ya mwaka 2024 yenye mashtaka…

Read More