Daraja linalounganisha Bamba na Dege Kigamboni lakatika
Dar es Salaam. Wananchi wa Kigamboni wameeleza adha wanayopitia kutokana na kukatika kwa daraja linalounganisha eneo la Bamba na Dege, Kigamboni jijini Dar es Salaam kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Leo Jumapili, Machi 22, 2026, Mwananchi imefika eneo hilo na kushuhudia utepe wa njano ukiwa umezungushwa kuanzia mita kama 50 kutoka daraja lililokatika, ili kuzuia…