Utalii wa kupanda Mlima Kilimanjaro kwa muda mfupi wavutia watalii
Moshi. Utalii wa kupanda Mlima Kilimanjaro kwa muda mfupi maarufu kwa jina la Ultra marathon, unatajwa kuzidi kukua na kuvutia idadi kubwa ya watalii kutoka nje na ndani ya nchi. Makundi mbalimbali yamekuwa yakitumia aina hiyo ya utalii kupanda mlima huo mrefu kuliko yote barani Afrika ambao una urefu wa mita 5,895. Akizungumza Jumamosi Machi…