Waziri Kapinga aanza ziara China ya kuvutia uwekezaji
China. Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga ameanza ziara ya kikazi ya siku tatu nchini China yenye lengo la kuhamasisha uwekezaji katika sekta za viwanda na biashara nchini. Ziara hiyo imeanza katika Jiji la Hangzhou, lililopo katika Jimbo la Zhejiang. Tayari waziri huyo ameshiriki kongamano la wafanyabiashara na wawekezaji takribani 100 lililoandaliwa na China…