Rais Mwinyi awataka wananchi kuendeleza maadili ya swaumu
Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema wametekeleza ibada ya swaumu katika hali ya amani na utulivu, hivyo kuwataka wananchi kuendelea kudumisha mshikamano na kuleta umoja kwa maslahi ya Taifa hilo. Pia, amewataka kuendeleza mema waliyoyafanya wakati wa swaumu kwani kitabu kitukufu cha Quran hakina ukomo wa kufanya mema jambo ambalo litachochea ustawi wa…