DIWANI WA ZUZU ATOA MSIMAMO KUHUSU CHIMBO LENYE UTATA MAZENGO
…….. Na Carlos Claudio, Dodoma. Wananchi wa Mtaa wa Mazengo, Kata ya Zuzu jijini Dodoma, wameiomba Serikali kuingilia kati na kusitisha mara moja shughuli za uchimbaji wa madini ujenzi zinazoendelea katika eneo lao, wakieleza kuwa zinahatarisha maisha yao na kusababisha uharibifu wa mazingira. Ombi hilo lilitolewa wakati wa ziara ya Diwani wa Kata ya Zuzu,…