Simulizi baba alivyomkata mwanae vipande na kuvitumbukiza chooni-2
Katika sehemu ya kwanza ya simulizi ya tukio la baba kumuua mtoto wake mwenye umri wa miaka 4 na miezi 6 kisha kumkata vipande vipande na kuvitumbukiza chooni, tuliishia ushahidi wa mama wa mtoto, alivyosimulia hatua kwa hatua juu ya tukio hilo. Tuliona pia mama huyo, Daima Hongoli alivyoitwa na polisi katika nyumba aliyokuwa akiishi…