Airtel Yaonesha Mchango Mkubwa Uchumi wa Kidijitali kwenye MIF 2026
Arusha, Tanzania – Airtel Tanzania imeendelea kuimarisha nafasi yake kama mshirika muhimu katika mabadiliko ya uchumi na maendeleo ya kidijitali nchini, kufuatia ushiriki wake katika Mkutano wa Minority Interest Forum (MIF) 2026, ambapo kampuni hiyo iliwasilisha mafanikio yake ya kifedha, uwekezaji unaoendelea, pamoja na mchango wake kwa mapato ya Serikali. Mkutano huo, ulioandaliwa na Office…