Mdogo Wa Marehemu Afichua Mawasiliano Na Mke Wa Nyanza Anayedaiwa Kumuua – Video
Global Publishers March 20, 2026 0 Comments Mdogo wa marehemu, Athumani Nyanza, pamoja na Hawa Nyanza, wamezungumza kwa uchungu baada ya kueleza tukio la kushangaza walilolipata walipofika katika eneo ambalo lilidaiwa kuwa ndiko ndugu yao alikozikwa. Kwa mujibu wa maelezo ya familia, baada ya kufika eneo hilo na kufanya uchunguzi wa kina, walifukua kaburi hilo…