Kazi: Namungo imenirejeshea kujiamini baada ya wakati mgumu Simba
DAKIKA 1530 katika mechi 17 za Ligi Kuu Bara msimu huu alizocheza beki wa kati wa Namungo FC, Hussein Kazi, amesema zimemwongezea kitu kikubwa, tofauti na msimu uliopita akiwa Simba na hakupata nafasi kubwa ya kucheza. Msimu wa 2024-2025 wakati yupo Simba, Kazi alicheza mechi moja kwa dakika 10 dhidi ya KMC, jambo ambalo anasema…