SOUWASA YANG’ARA KITAIFA YASHIKA NAFASI YA PILI KWA UTOAJI HUDUMA ZA MAJI.
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Songea (SOUWASA) imeendelea kudhihirisha ubora wake katika utoaji wa huduma baada ya kushika nafasi ya pili kwa miaka miwili mfululizo, miongoni mwa mamlaka 20 za maji nchini zenye wateja zaidi ya 20,000, tuzo hizo hutolewa na Mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji(EWURA). Mafanikio hayo…