Kamati ya PAC wakutana na kilio cha bando, wananchi walalama
Babati. Kilio cha gharama na ufanisi wa mabando ya intaneti kimeibuka tena baada ya wananchi wa Kata ya Qash, Wilaya ya Babati mkoani Manyara kulalamika kuwa mabando yao huisha haraka bila kuelewa sababu. Malalamiko hayo yalitolewa Machi 23, 2026 mbele ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) iliyotembelea eneo hilo kukagua mnara wa…