Tanzania na viwango hafifu vya furaha, wananchi waeleza ya moyoni
Dar es Salaam. Je, wewe ni Mtanzania? Unafurahia maisha? Jibu la swali hilo unalijua mwenyewe, lakini Tanzania inashika nafasi za chini katika viwango vya nchi zenye furaha duniani, kwa mujibu wa Ripoti ya Kimataifa ya Furaha ya mwaka 2025. Kesho, Machi 20, 2026, ni Siku ya Kimataifa ya Furaha (IDH) ambayo huadhimishwa kila mwaka na…