Admin

MAADHIMISHO YA WIKI YA HAKI ZA MLAJI YAENDELEA KITAIFA

 Mkaguzi wa Bidhaa bandia kutoka FCC Bi.Diana Augustine akitoa elimu kuhusiana madhara ya bidhaa bandia katika shule ya Msingi Bunge ikiwa ni sehemu ya kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Siku ya Haki za Mlaji Duniani. …. TUME ya Ushindani (FCC) leo Machi 19,2026 imetoa elimu kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Bunge kuhusu masuala ya kumlinda…

Read More

Simba yabanwa Kirumba, Azam Lake Tanganyika

WAKATI jana mashabiki wa Simba wakifurahia sare ya mchezo wa TRA United dhidi ya Yanga, leo Alhamisi ikawa zamu ya wenzao kushangilia baada ya wekundu hao kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Pamba Jiji kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Simba ilitumia dakika tatu pekee kufurahia bao lake lililofungwa dakika ya 33 na Anicent…

Read More

Askofu mpya Jimbo Katoliki Bariadi asimikwa, viongozi wa dini waonya

Simiyu. Viongozi wa dini wameonywa kutojikita katika kutafuta utukufu wa wanadamu bali kumtukuza Mungu, wakihimizwa kusimama katika ukweli wa Injili bila kuficha maovu. Aidha, wamekumbushwa kuwa kupindisha mafundisho kwa lengo la kuwafurahisha watu kunaweza kulidhoofisha Kanisa. Wito huo umetolewa leo Alhamisi Machi 19, 2026, mkoani Simiyu katika Misa Takatifu ya kumsimika Askofu wa kwanza wa…

Read More

Kipigo chamzindua Nsajigwa Prisons | Mwanaspoti

KIPIGO cha mabao 2-1 ilichokipata Tanzania Prisons dhidi ya Singida Black Stars juzi kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara, kimemwibua kocha wa timu hiyo, Shadrack Nsajigwa ‘Fuso’, baada ya kukiri umakini ndiyo sababu ya kukosa ushindi. Mechi hiyo iliyopigwa Kwenye Uwanja wa Jamhuri, jijini, Dodoma, Prisons ilitangulia kupata bao la penalti dakika ya tatu, kupitia…

Read More

Sababu radi kupiga Dar, jinsi ya kujikinga

Dar es Salaam. Katika kipindi hiki cha mvua, ili kujikinga na radi unapaswa kuepuka kukaa chini ya miti. Epuka kukaa katika eneo la wazi kama ufukweni au uwanjani, kwa sababu radi ikipiga huwa inatafuta kitu kirefu; kwa hiyo kama uko uwanjani wewe ndiyo unakuwa mlengwa. Vilevile, kama upo ndani ya nyumba jiepushe kukaa karibu na…

Read More

Maxime: Mbeya City ni suala la muda tu

KOCHA wa Mbeya City, Mecky Maxime amewapa nguvu mashabiki wa timu hiyo huku akiwaambia kwamba bado anaamini kikosi hicho kitarudi kwenye ubora wake licha ya kupoteza mechi iliyopita. Mbeya City ilikutana na Singida Black Stars na kupoteza mechi hiyo kwa kipigo kikali cha mabao 1-4, ikiwa ni mwenyeji na kuchezwa Uwanja wa Tanzanite Kwaraa ulioko…

Read More

Hesabu za Simba, Azam zikiifukuzia Yanga

MATOKEO ya mechi ya leo Alhamisi yataamua mshale wa Simba katika msimamo wa Ligi Kuu Bara upande hatua mbili juu au ubaki hapohapo huku kikosi hicho cha Steve Barker kikiwa na mtihani mbele ya Pamba Jiji. Ni mechi itakayochezwa saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, dimba ambalo wenyeji Pamba Jiji msimu…

Read More