Nyuma ya pazia mauzo ya ngozi nchini yazidi kupaa nje ya nchi
Thamani ya ngozi mbichi zilizouzwa sokoni imeongezeka kwa asilimia 35.3 na kufikia Sh3.823 bilioni katika robo mwaka ulioishia Septemba 2025, Ripoti ya uchumi wa kikanda ya Benki Kuu (BoT) inaeleza. Ripoti hiyo inayoangazia ufanisi katika robo mwaka ulioishia Septemba 2025 inaeleza kuwa utendaji huo ulichangiwa kwa kiasi kikubwa na jitihada zinazoendelea za serikali kutoa mafunzo…