WANANCHI WA MPANDA KUNUFAIKA NA MRADI WA TACTIC
****** Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda, Bw. Gwalusajo Kapande amesema kuwa utekelezaji wa mradi wa Uendelezaji wa Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) katika Manispaa hiyo utaleta mabadiliko chanya kwa wana Mpanda na wageni katika utoaji huduma na mahitaji mbalimbali ya usafiri na usafirishaji, mazingira bora ya shughuli za kiuchumi na ongezeko la mapato…