Tanzania Yatangaza Fursa Mpya za Uwekezaji Sekta ya Afya Kimataifa
Kwa mujibu wa Waziri huyo, Tanzania imeweka mazingira rafiki kwa uwekezaji, ikiwa ni pamoja na uthabiti wa uchumi, idadi kubwa ya watu zaidi ya milioni 65, na mageuzi ya mfumo wa bima ya afya yatakayosaidia kuongeza mahitaji ya huduma za afya kwa utaratibu unaotabirika. Aliongeza kuwa nafasi ya Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)…