Maridhiano yatajwa kichaka kukwamisha Katiba Mpya
Dar es Salaam. Wadau hao wamesisitiza kuwa mchakato wa Katiba Mpya ni wa kisheria unaohitaji kuanza kwa kuwasilisha muswada wa sharia bungeni, hivyo haupaswi kuhusishwa moja kwa moja na matukio ya hivi karibuni, ikiwemo uchunguzi wa vurugu hizo. Hata hivyo, wengine wameeleza kuwa hatua zinazopendekezwa zinafanana na kuchomeka mambo ambayo hayahitajiki, hivyo kuweo uwezekano wa…