Tanzania yawahakikishia wawekezaji mfumo bora wa kodi
Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imewahakikishia wawekezaji kuwepo kwa mazingira bora, ya haki na yanayotabirika katika mfumo wa kodi kufuatia dhamira ya kutekeleza kikamilifu mapendekezo 284 ya maboresho ya mfumo wa kodi yaliyoanzishwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Uhakikisho huo umetolewa wakati wa Mkutano wa Kubadilishana Uzoefu na Mafunzo ya Kodi kati ya Tanzania…