Fidia Sh2.9 bilioni yafungua njia mradi wa maji Mbeya
Mbeya. Serikali imeanza mpango wa kumaliza kero ya maji mkoani Mbeya baada ya kutoa zaidi ya Sh2.9 bilioni kulipa fidia kwa wananchi wanaopisha mradi wa kimkakati wa maji kutoka Mto Kiwira wilayani Rungwe. Fidia hiyo inahusisha wananchi 819 waliokuwa na mashamba na makazi katika vijiji 10 vinavyopitiwa na mradi huo, pamoja na makaburi 79 yaliyohamishwa…