Kutoka msaidizi wa wasusi hadi mfanyabiashara wa kimataifa wa magauni ya harusi
Dar es Salaam. Alikuwa binti mwenye ndoto kubwa, lakini safari ya kuzifikia haikuwa nyepesi. Hakuwa na elimu ya juu wala ujuzi wa kutosha, zaidi hakukuwa na mazingira rafiki ya kumwezesha kufikia alichokuwa anakitamani maishani. Katika harakati za kujitafuta, alianza kama msaidizi wa wasusi katika moja ya saluni jijini Dar es Salaam. Akiwa katika mazingira hayo,…