Meridianbet Yawakumbuka Tena Mama Lishe Coco Beach
Global Publishers March 19, 2026 0 Comments Kwenye upepo mwanana wa Coco Beach, kumezaliwa tabasamu mpya kwa kina mama wanaochangamsha jiji la Dar es Salaam kwa vyakula vyao vitamu. Meridianbet imewasili na zawadi za aproni ikiwa ni ishara ya heshima kwa juhudi za Mama Lishe wanaopambana kila siku kujitafutia kipato na kuhudumia mamia ya wateja…