Simba yabanwa Kirumba, Azam Lake Tanganyika
WAKATI jana mashabiki wa Simba wakifurahia sare ya mchezo wa TRA United dhidi ya Yanga, leo Alhamisi ikawa zamu ya wenzao kushangilia baada ya wekundu hao kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Pamba Jiji kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Simba ilitumia dakika tatu pekee kufurahia bao lake lililofungwa dakika ya 33 na Anicent…