KUELEKEA UZINDUZI WA WAZOHURU APARTMENTS MATHIAS CANAL ACHANGIA VIFAA VYA MICHEZO VYA MIL 4 MANISPAA YA SINGIDA
Kuelekea uzinduzi wa WazoHuru Air BnB Apartments Mtaa wa Unyankae-Miembeni Manispaa na Mkoa wa Singida, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Wazohuru Media Group Limited amechangia vifaa vya michezo kwenye shule za msingi katika Manispaa ya Singida vyenye gharama ya shilingi Milioni 4.2 Vifaa hivyo vya michezo ni pamoja na jezi Jozi moja yenye jezi…