Mbeto: Magufuli Alikuwa Shujaa na Nguzo ya Maendeleo Ya Taifa
Chama Cha Mapinduzi kimesema Marehemu Rais John Joseeph Magufuli alikuwa Kiongozi shujaa na Mzalendo kwa Taifa lake wakati wote wa maisha yake kabla na baada ya kuwa Rais. Pia kimesisitiza juhudi na ushujaa wa kiongozi huyo, uliifanya Tanzania kuingia katika orodha ya nchi zenye Uchumi wa kati. Hayo yameelezwa na Katibu wa Kamati Maalum ya…