TRA yaikazia Yanga, Dube, Mwenda wazua hofu
YANGA imevutwa shati na TRA United katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa leo Jumatano Machi 18, 2026 kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha baada ya timu hizo kushindwa kufungana. Katika mechi hiyo, Yanga iliwakosa wachezaji sita wanaouguza majeraha ambao ni Clement Mzize, Dickson Job, Ibrahim Abdullah ‘Bacca’, Laurindo Aurelio ‘Depu’, Chadrack Boka…