Israel yadai kumuua waziri wa ujasusi wa Iran, mvutano wazidi kupamba moto
Dar es Salaam. Mvutano wa kijeshi kati ya Israel na Iran umeingia hatua mpya kufuatia madai ya Israel kuwa imemuua Waziri wa Ujasusi wa Iran, Esmail Khatib, katika mashambulizi ya anga yaliyofanyika usiku wa kuamkia jana Jumanne. Tamko hilo limetolewa na Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, aliyesema operesheni hiyo pia ilimuua kiongozi wa…