Wananchi Dar walalama kukatika umeme, Tanesco yajibu
Dar es Salaam. Wakati baadhi ya maeneo ya jiji la Dar es Salaam yakishuhudia kukatikakatika kwa umeme nyakati tofauti Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema hali hiyo inatokana na athari zitokanazo na mvua zinazoendelea kunyesha. Katika siku za hivi karibuni wakazi wa maeneo mbalimbali ya Jiji hilo kama Ubungo, Kimara, Tabata, Goba na Chanika wameeleza…