Wadau Washangazwa na Ukaribu wa Diamond na Lulu Diva

Global Publishers March 24, 2026 0 Comments Msanii nyota wa Bongo Fleva na Mkurugenzi Mtendaji wa WCB Wasafi, Diamond Platnumz, Machi 23, 2026 amezua gumzo mitandaoni baada ya kumpongeza Lulu Diva katika siku yake ya kuzaliwa kwa ujumbe ulioonekana kuwagusa wengi. Kupitia comment aliyoiandika kwenye picha za Lulu Diva, Diamond alimtakia maisha marefu na yenye…

Read More

MAKAMU WA RAIS DKT.NCHIMBI AWASIHI VIONGOZI WA DINI KUWEKEZA KATIKA KUFUNDISHA MAADILI MEMA KWA KIZAZI CHA SAS

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasihi Viongozi wa Dini kuendelea kuwekeza katika kufundisha maadili mema kwa kizazi cha sasa ili kuwa na Taifa zuri baadaye. Makamu wa Rais amesema hayo wakati aliposhiriki Futari iliyoandaliwa na Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) iliyohusisha Viongozi wa Dini na…

Read More

Balozi Kanza aingia orodha ya viongozi 100 wenye ushawishi Afrika

Dar es Salaam. Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Elsie Kanza, ametajwa miongoni mwa viongozi 100 wenye ushawishi barani Afrika, akiungana na majina makubwa kutoka kwenye siasa, biashara, michezo na taasisi za kimataifa. Kutajwa kwa Kanza kunaakisi kuongezeka kwa ushawishi wake katika diplomasia ya kimataifa, hususan jijini Washington ambako amekuwa sauti muhimu katika kuwasilisha…

Read More

Mwalimu wa Kiingereza wa Diamond na Harmonize, Allen Ngonyani Afariki

Global Publishers March 15, 2026 0 Comments Mwalimu aliyewasaidia mastaa wakubwa wa muziki wa Bongo Fleva, akiwemo Diamond Platnumz, Harmonize na Rayvanny, kuzungumza Kiingereza kwa ufasaha, Allen Ngonyani, amefariki dunia mapema asubuhi ya leo katika Hospitali ya Geza, Kigamboni, jijini Dar es Salaam, alikokuwa anapatiwa matibabu. Akizungumza na Global TV Online, mmoja kati ya ndugu…

Read More

Staa wa zamani wa Bongo Fleva asimikwa kuwa mchungaji

Dodoma. Miaka kadhaa iliyopita jina la Ainea lilisikika sana kwenye anga la muziki wa Bongo Fleva, akitamba na vibao vilivyotikisa redio na majukwaa ya burudani. Lakini leo, sauti hiyo iliyowahi kuwaburudisha mashabiki imegeuka kuwa chombo cha kuhubiri neno la Mungu. Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Kedmon Ainea maarufu kama Ainea, sasa ameanza rasmi maisha mapya ya…

Read More