Wauza video za tamthilia, filamu walia na tozo, Serikali yaingilia kati

Mbeya. Wasambazaji na wauzaji wa movies, Muziki na Filamu jijini Mbeya wamelalamikia baadhi ya mawakala wanaopita kukusanya fedha kinyume na utaratibu, wakiomba serikali kuingilia kati ili kunusuru vibarua na usalama wao katika shughuli zao. Imeleezwa kuwa mawakala hao hujitambulisha kutoka Umoja wa wasambazaji Movies ‘Films Distributers’, ambapo hupita kila kibanda kukusanya Sh10,000 kwa kila wiki,…

Read More

Ndoa ya Gigy Money Yafanyika Lugalo, Mastaa Wahudhuria

Global Publishers March 14, 2026 0 Comments Msanii mwenye hekaheka zake mjini asiyeishiwa vibwanga Gift Stanford ‘Gigy Money’ ambaye kwa sasa amebadili dini na kutumia jina la Rawya, amefunga ndoa na mpenzi wake Licky katika sherehe iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Ndoa hiyo ilifungwa na kuambatana na sherehe fupi iliyofanyika katika Viwanja vya Lugalo Golf…

Read More

Wema Sepetu Amzawadia Whozu Ujumbe Mtamu wa Mapenzi

Global Publishers March 11, 2026 0 Comments Mrembo na msanii wa filamu nchini Tanzania, Wema Sepetu, amemuonyesha wazi mapenzi yake kwa mpenzi wake, Whozu, kupitia ujumbe wa kumtakia heri ya siku yake ya kuzaliwa. Kupitia ukurasa wake wa Snapchat, Wema alimtakia Whozu heri ya kuzaliwa huku akiambatanisha na maneno ya mahaba yaliyoonyesha namna anavyomthamini katika…

Read More

Bado elimu ni ufunguo wa maisha?

Dar es Salaam. Usemi elimu ni ufunguo wa maisha, umeibua mjadala wa makundi mawili yanayopingana. Lipo linalosema kuna matajiri wa shahada za elimu, lakini masikini wa maisha, huku lingine likisema wapo mafukara wa elimu wanaishi maisha bora. Upinzani huo umekwenda mbali zaidi na kuibua, mjadala mwingine kati ya wanaosema elimu si nyenzo ya kuyafungua maisha,…

Read More

Wananchi Wahimizwa Kujiunga na Hifadhi Skimu

Serikali imehimiza wananchi kujiunga katika na Hifadhi Skimu ili kujihakikishia usalama wa maisha yao ya sasa na baadaye ikiwemo kunufaika na mafao yanayotolewa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF). Akizungumza katika hafla ya uhamasishaji wa kujiunga na hifadhi hiyo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe….

Read More