Harmonize na Mbosso Watoa Video ya Wimbo Mpya “Leo”
Global Publishers March 5, 2026 0 Comments Wasanii wa Bongo Flava Harmonize na Mbosso wameachia rasmi video ya wimbo wao mpya unaoitwa “Leo”, ambao tayari umeanza kuvuta hisia za mashabiki wa muziki wa Tanzania na Afrika Mashariki. Wimbo huo ni wa mahaba unaoelezea hisia za mtu anayependa kwa dhati na kuamua kuishi katika wakati wa…