MEELA AWAOMBA VIONGOZI WA DINI KUKEMEA SWALA LA WIZI.

MOSHI.  Wimbi la wizi, hasa wa mita za maji, limeendelea kuwa changamoto kubwa katika baadhi ya maeneo ya Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, hali inayozua wasiwasi kwa wananchi na viongozi wa jamii. Kutokana na hali hiyo, viongozi wa dini wametakiwa kutumia nafasi zao kuzungumzia na kukemea vitendo hivyo pamoja na kuwaombea vijana wanaojihusisha na uhalifu…

Read More

MUFTI AWATAKA WATUMISHI WA TRA KUZINGATIA UADILIFU KAZINI

             ***** Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakari bin Zubeir, amewataka watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuendelea kuzingatia uaminifu, uadilifu na weledi wanapotekeleza majukumu yao ili kulinda maslahi ya taifa. Akizungumza katika iftari maalum iliyoandaliwa na Kamishna Mkuu wa TRA jijini Dar es Salaam, Mufti Zubeir aliwapongeza viongozi…

Read More

Kuvimba kwa lami, mikunjo barabara ya Mandela yaleta hofu, wataalamu waonya

Dar es Salaam. Magari ya mizigo, mabasi ya abiria, daladala na magari binafsi yanaendelea kupishana kwa kasi katika Barabara ya Mandela, mojawapo ya barabara muhimu inayounganisha maeneo mbalimbali ya jiji ikitokea bandarini. Lakini, kadiri magari yanavyokaribia kipande kabla ya kuzifikia taa za barabarani zilizo chini ya daraja la Mfugale lililopo eneo la Tazara inawalazimu madereva…

Read More

Mmoja afariki kwa kusombwa na maji akivua, mvua ikiacha kilio

Dar/mikoani. Mtu mmoja amefariki dunia ka kusombwa na maji kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya nchi. Huku katika baadhi ya maeneo shughuli zikisimama kufuatia mvua hizo. Usiku wa kuamkia jana ilinyesha mvua kubwa iliyoambatana na ngurumo za radi ilisababisha kuharibu barabara na kuwakwamisha wananchi katika shughuli zao za kila siku. Katibu wa Mbunge…

Read More

Siku ya Ushindi na Meridianbet Imefika

WAKALI wa ubashiri wanakuita leo hii usuke jamvi lako la ushindi sasa. Timu kibao zipo uwanjani leo kusaka ushindi na wewe ingia kwenye akaunti yako ya Meridianbet usake mkwanja sasa. EPL leo hii itaendelea Arsenal atakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Everton ambao wanashika nafasi ya 8 kwenye msimamo w aligi. Wageni wao wapo nafasi ya…

Read More

Dk Mwigulu awaka, aagiza mnyororo usambazaji dawa uchunguzwe

Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ameagiza kufanyika uchunguzi wa haraka katika vituo vya afya vya Wilaya ya Mpimbwe mkoani Katavi, kufuatia kubainika wananchi wengi wanaelekezwa kununua dawa katika maduka ya nje, licha ya taarifa za Serikali kuonyesha dawa za kutosha zinapatikana hospitalini. Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara eneo la Kibaoni ambako anaendelea…

Read More

 Tacas yataka bandari iachane na ada mpya

Dar es Salaam. Chama cha Wakala wa Forodha Tanzania (Tacas), kimeiomba Serikali kuachana na mpango wa kutoza ada ya Uendelezaji wa Miundombinu ya Bandari (PID) na badala yake kutafuta vyanzo vingine mbadala vya mapato. Chama hicho kimetoa ushauri huo ikiwa ni maazimio ya mkutano wa dharura wa kujadili ada hiyo, uliofanyika Machi 13 jijini Dar…

Read More

Marekani kushirikiana na Tanzania kuimarisha ulinzi

Bakari Mahundu March 14, 2026 0 Comments Meja Jenerali Craig Strong, Kiongozi Mkuu wa Walinzi wa Taifa wa Jimbo la Nebraska na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Wananchi Tanzania (JWTZ), Jenerali Jacob Mkunda Serikali ya Marekani imesaini makubaliano ya ushirikiano na Tanzania katika masuala ya kuimarisha jeshi, ulinzi wa amani na usalama wa nchi…

Read More