SERIKALI YASISITIZA UTEKELEZAJI WA ASILIMIA 30 YA ZABUNI KWA MAKUNDI MAALUM

***** Na,Oscar Tarimo, WMJJWM. MOROGORO Serikali imeendelea kusisitiza utekelezaji wa kutenga asilimia 30 ya zabuni za umma kwa makundi maalum ili kuongeza ushiriki wa makundi hayo katika shughuli za kiuchumi na kuchochea maendeleo jumuishi nchini. Akizungumza leo tarehe 13 Machi 2026 Mkoani Morogoro katika ufunguzi wa warsha ya kujenga uwezo kuhusu utekelezaji na uratibu huo,…

Read More

Dau Dogo, Zawadi Kubwa Samsung A26 Inakusubiri Meridianbet

JE unajua kuwa kwa dau dogo tuu unaweza kujiweka kwenye nafasi ya ushindi na wakali wa ubashiri Meridianbet ambapo kupitia promosheni ya Beti Online unaweza ukaondoka na Samsung A26. Weka dau lako kuanzia 5000 na ubashiri hapa. Meridianbet inaendelea kuwa kinara katika kutoa promosheni zenye thamani halisi kwa wachezaji wake. Kupitia kampeni yake mpya, kampuni…

Read More

Rais Dkt. Samia Afuturisha Viongozi pamoja na Makundi mbalimbali, Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na Wananchi wa Chakechake, Mkoa wa Kusini Pemba kwenye Futari aliyowaandalia pamoja na Viongozi mbalimbali, tarehe 13 Machi, 2026. Viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wa Chakechake, wakiwa kwenye Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu…

Read More

Sh14.9 bilioni kujenge madaraja mawili Ileje

Ileje. Naibu Waziri wa Ujenzi, Godfrey Kasekenya amemtaka mkandarasi kutoka kampuni ya Jasco anayejenga daraja la Kabalisi na mkandarasi kutoka kampuni ya Gemen anayejenga daraja la Sange kukamilisha miradi hiyo kufikia Machi 30, 2026. Ujenzi wa madaraja hayo yanatarajia kugharimu jumla ya Sh14.9 bilioni  ambapo inadaiwa pindi yakikamilika yataondoa adha kwa wananchi ya kuvuka kwenda…

Read More