Wataalamu wa maabara wajengewa uwezo kukabili kipindupindu
Dar es Salaam. Serikali kupitia Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii imejipanga kuimarisha ufuatiliaji na kuwajengea uwezo wataalamu wa afya nchini ili kuboresha utambuzi wa haraka wa kipindupindu, hatua itakayosaidia kudhibiti ugonjwa huo kabla haujasambaa. Hayo yamebainishwa Machi 13, 2026 jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa maabara hiyo, Ambele Mwafulango, wakati akifunga mafunzo…