Ripoti ya Kerry ya Taste Charts 2026 Yaoyesha Ladha za Tangawizi, Ukwaju na Mango Chilli Kinara Mabadiliko ya Ladha Barani Afrika
NAIROBI, KENYA. Kampuni ya Kerry Group, kinara wa kimataifa katika masuala ya ladha na lishe, imezindua ripoti ya Kenya 2026 Taste Charts, ikionyesha mabadiliko makubwa katika chaguo za ladha za watumiaji barani Afrika. Ripoti hizi mpya, zinazohusisha nchi 78 barani Afrika zikiwemo Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda, na Zambia, zinaonyesha kuwa watumiaji wa Afrika sasa wanazidi kuhama kutoka kwenye ladha za kawaida za vyakula…