Ramadhani ni mwezi wa toba, kuokolewa na moto

Mwezi wa Ramadhani ni mwezi ambao milango ya pepo hufunguliwa na milango ya moto hufungwa. Katika mwezi huu, Allah Mtukufu huwapa neema waja wake wanaofunga kwa kuwaokoa na moto wa jahannam. Moto ambao joto lake ni kali sana, kina chake ni kirefu, na adhabu yake ni nzito. Mtume wa Allah (rehema na amani ziwe juu…

Read More

Tumia viungo hivi kuondoa harufu mbaya kwapani

Harufu mbaya ya kwapa ni tatizo linalowakumba watu wengi katika jamii, na mara nyingi husababisha usumbufu wa kijamii na kupunguza kujiamini. Tatizo hili hutokana na mambo mbalimbali yanayohusiana na mwili wa binadamu, mazingira, na mienendo ya maisha ya kila siku. Kuelewa sababu hizi ni hatua muhimu katika kukabiliana na tatizo hili. Moja ya sababu kuu…

Read More

Mambo ya kuzingatia unapokula matunda

Dar es Salaam. Matunda ni chakula cha asili chenye virutubisho vingi muhimu kwa afya ya binadamu. Matunda yanaweza kuwa matamu, machungu au kuwa na ladha ya wastani, na mengi huliwa mabichi hali inayosaidia kuhifadhi virutubisho vyake kwa kiwango kikubwa. Ofisa lishe mtafiti kutoka Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), Fatma Juma, anataja mambo  muhimu…

Read More

Mara ngapi unavaa soksi bila kufua?

Dar es Salaam. Ni jambo la kawaida kuvaa jozi ileile ya suruali, sweta au hata fulana zaidi ya mara moja. Lakini vipi kuhusu soksi zako? Kama ungejua ni nini hasa huishi kwenye soksi zako baada ya siku moja tu ya kuzivaa, huenda ungefikiria mara mbilimbili kabla ya kuzivaa tena. Miguu yetu ni msitu mdogo wa…

Read More

Usingizi; kinga ya afya ya akili, kimwili

Dar es Salaam. Wakati dunia ikiadhimisha Siku ya Usingizi leo Ijumaa, Machi 13, 2026, tafiti mbalimbali za afya zimebainisha umuhimu wa usingizi bora kwa afya ya mwili na akili. Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali na dondoo za afya, usingizi ni sehemu muhimu ya maisha ya binadamu kama ilivyo lishe bora na mazoezi ya mwili. Usingizi…

Read More

Lango la Mamire kuchochea utalii Tarangire

Tarangire. Kukamilika kwa ujenzi wa lango la Mamire la kuingilia katika Hifadhi ya Taifa Tarangire unatarajiwa kurahisisha watalii kuingia hifadhini kupitia Wilaya ya Babati, hatua inayolenga kupanua wigo wa ufikiwaji wa hifadhi hiyo na kuchochea utalii. Akizungumza jana Alhamisi Machi 12, 2026 wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya mradi huo, Mwenyekiti wa Kamati ya…

Read More

Ndege ya Kujaza Mafuta ya Marekani Yaanguka Magharibi mwa Iraq

Global Publishers March 13, 2026 0 Comments Jeshi la Marekani limethibitisha kuwa ndege yake ya kijeshi imeanguka nchini Iraq. Kwa mujibu wa taarifa ya U.S. Central Command, ndege ya kujaza mafuta angani aina ya Boeing KC-135 Stratotanker ilianguka baada ya kutokea tukio lililohusisha ndege mbili angani. Jeshi hilo limesema tukio hilo halihusiani na mashambulizi ya…

Read More