Haji Manara Azungumzia Mchango wa Ssebo Kwenye Tasnia ya Habari ‘Tumepoteza Mtu Muhimu’ – Video
Global Publishers March 13, 2026 0 Comments Diwani wa Kata ya Kariakoo, Haji Manara, amezungumzia kuhusu marehemu Denis Busulwa almaarufu Ssebo, akimwelezea kama mtu aliyekuwa na moyo mkubwa wa kusaidia watu na aliyependa kuwa karibu na jamii enzi za uhai wake. Manara amesema Ssebo alikuwa mtu mwenye upendo na mshikamano mkubwa, ambaye alijenga urafiki na…