KAMATI YA MIUNDOMBINU YAAGIZA USIMAMIZI MADHUBUTI UJENZI WA JENGO LA TAALUMA LA ICoT.
******** Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeitaka Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kuhakikisha inamsimamia kwa karibu mkandarasi anayejenga jengo la taaluma katika makao makuu ya Taasisi ya Teknolojia ya Ujenzi (ICoT) ili mradi huo ukamilike kwa ubora unaotakiwa. Agizo hilo limetolewa Mkoani Morogoro leo Machi 12, 2026 na Kaimu…