Shauri la Kikatiba lililofunguliwa na TLS latupwa

Dar es Salaam. Dosari za kisheria katika hati ya kiapo cha rais wa chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, kimesababisha shauri la kikatiba lililofunguliwa dhidi ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), kutupwa na mahakama. Uamuzi wa kutupa shauri hilo baada ya kubainika dosari hizo, umetolewa jana Jumatano, Machi 11, 2026 na jopo la majaji…

Read More

Iran Yatuhumiwa Kushambulia Meli za Mafuta Katika Ghuba ya Uajemi

Iran imetuhumiwa kushambulia meli mbili kubwa za mafuta katika Ghuba ya Uajemi kwa kutumia boti zilizokuwa zimebeba vilipuzi, tukio lililosababisha milipuko mikubwa na moto mkali uliowalazimu wafanyakazi wa meli hizo kukimbilia kuokoa maisha yao. Video ya tukio hilo inaonyesha moshi mzito mweusi ukipaa juu angani kutoka kwenye meli zilizokuwa zimebeba mafuta ya Iraq, huku moto…

Read More

Hili ndilo soko la mafuta na bei zinapangwa hivi

Vita inayoendelea katika ghuba ya Uajemi tayari vimesababisha bei ya bidhaa muhimu ya mafuta kuongezeka, na ikiwa vita hiyo itaendelea ni dhahiri dunia inaweza kuangukia kwenye mgogoro wa kiuchumi unaosababishwa aidha uhaba wa mafuta au kupanda kwa gharama za maisha kutokana mfumuko wa bei na kuongezeka gharama za uzalishaji. Mafuta ndicho chanzo kikuu cha nishati…

Read More

Mzawa aja na jukwaa la suluhu kwa wabunifu na wasaka ajira

Suala la ukosefu wa ajira rasmi limekuwa likiumiza kichwa wengi, kuanzia kwa watu binafsi hata Serikali, lakini sasa Kwanzahub imekuja na suluhu ambalo hata kama sio la kumaliza tatizo lakini walau kupunguza na kuonyeshwa njia ya kutatua tatizo hilo. Suluhu hiyo inahusisha kutoa jukwaa la vijana kuonyesha mawazo yao ya kibunifu, kuyelea, kuyauza lakini ni…

Read More

Ripoti yabainisha pengo uchimbaji endelevu Bulyanhulu, Barrick yajibu

Ripoti mpya ya utafiti imeibua taswira ya pande mbili katika sekta ya madini nchini, ikionesha mafanikio ya uwekezaji na uwajibikaji wa kampuni, lakini pia ikifichua mapengo ya ushirikishwaji wa jamii, uwazi wa taarifa na mifumo ya kushughulikia malalamiko. Ripoti hiyo iliyoandaliwa na HakiRasilimali kwa kutumia viwango vya kimataifa vya Towards Sustainable Mining (TSM), imechambua hali…

Read More