RAIS SAMIA NA AFISA MTENDAJI MKUU ABF SUGAR KUENDELEZA UWEKEZAJI SEKTA YA SUKARI
::::::::: Na Mwandishi wa OMH Dk. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, jana Machi 11, 2026, alimkaribisha Paul Kenward, Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya ABF Sugar, aliyefika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma kwa ziara ya heshima. Katika ziara hiyo, Bw. Kenward aliambatana na viongozi wengine waandamizi wa kampuni hiyo akiwemo Balozi. Ami Mpungwe, Mwenyekiti…