SERIKALI YATANGAZA MPANGO WA KUONGEZA NDEGE NANE KWA ATCL KUIMARISHA USAFIRI WA ANGA KUCHOCHEA UCHUMI WA TAIFA

SERIKALI imetangaza mpango wa kuongeza ndege nane kwa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), hatua itakayofikisha jumla ya ndege 24 ifikapo mwaka 2030, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha usafiri wa anga na kuchochea ukuaji wa uchumi wa Taifa. Taarifa hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, kwa niaba ya Waziri wa Uchukuzi,…

Read More

HELP TO HELP YAWAWEZESHA WASICHANA KUPENYA SOKO LA AJIRA

NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM TAASISI ya Help to Help East Africa imeendesha mafunzo ya siku 14 kwa wasichana 150 kutoka mikoa 20 nchini, ikiwa na lengo la kuwawezesha kupata ujuzi wa matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ili kuongeza ushindani wao katika soko la ajira. Mafunzo hayo yanawalenga zaidi wasichana waliopo…

Read More

Dosari za kisheria zamnusuru kifungo cha miaka 30 jela

Arusha. Mahakama ya Rufani imebatilisha hukumu ya kifungo cha miaka 30 jela alichokuwa amehukumiwa Lemindea Lesira baada ya kukutwa na kosa la ubakaji. Makosa mengine aliyokutwa nayo na hatia na kuhukumiwa adhabu ya kifungo cha miaka mitano na faini kwa mwathirika wa tukio hilo ni kusababisha madhara makubwa kinyume na kifungu cha 225 na kosa…

Read More

Wakulima wahimizwa kutumia taarifa za TMA kuongeza tija

Mbeya. Wakati Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) ikiadhimisha siku ya hali ya hewa duniani, wakulima Nyanda za Juu Kusini wameipongeza mamlaka hiyo wakieleza utabiri wao umewasaidia kuendesha kilimo chao kwa tija huku jamii ikitakiwa kuzingatia ushauri unaotolewa. Kila ifikapo Machi 23, TMA huungana na mamlaka nyingine za hali ya hewa duniani kusherekea siku…

Read More

SMZ kutumia teknolojia kuwanasa wanaokata misitu Zanzibar

Unguja. Kutokana na kasi ya ukataji misitu inayoendelea, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeandaa mpango wa kuanza kufuatilia na kudhibiti wanaokata misitu hiyo kwa njia ya kidijitali. Hayo yamebainishwa leo Machi 23, 2026 wakati wa kuadhimisha siku ya upandaji miti duniani ambapo kitaifa kwa Zanzibar imefanyika katika Shehia ya Muyuni, Wilaya ya Kusini, Mkoa…

Read More