USHIRIKI WA WANAUME KATIKA UZAZI WA MPANGO UNAVYOCHOCHEA MAENDELEO KIUCHUMI
KWA muda mrefu mjadala wa matumizi ya uzazi wa mpango umeonekana kuwa wa wanawake pekee. Kliniki nyingi za afya ya uzazi hujaa wanawake huku wanaume wakibaki pembeni, kana kwamba suala hilo halihusiani nao. Hata hivyo, uzoefu wa baadhi ya wanaume unaonyesha kuwa ushiriki wao unaweza kubadilisha kabisa ustawi wa familia kuanzia afya ya mama hadi…